Watakatifu wa Kanisa la mapema kama Yohana, Petro, na Paulo waliamini kabisa kwamba Mungu Alikuja katika mwili kwa jina ‘yesu”. Matokeo yaek, walipokea baraka ya wokovu.
Kama ambavyo Petro alipokea ufunguo wa Ufalme wa Mbinguni katika wakati wa Kanisa la mapema, Kanisa la Mungu linaweka imani hiyo hiyo katika utendaji, likiwa na imani katika Mungu Baba Ahnsahnghong na Mungu Mama kama Roho na Bibi arusi Waliokuja katika mwili katika Enzi ya Roho Mtakatifu.
Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” Mathayo 16:15–16
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha