Roho Mtakatifu wa mvua ya kwanza alipewa kwa wale ambao walimpokea Mungu Aliyekuja katika mwili katika Enzi ya Mwana. Hali kadhalika, Roho Mtakatifu wa mvua ya mwisho hupewa kwa wale wanaowapokea Mungu Ahnsahnghong na Mungu Mama, ambao Wamekuja katika mwili katika Enzi ya Roho Mtakatifu, na ambao wamerithi mwili na damu ya Mungu kupitia Pasaka ya Agano Jipya.
Mungu Alipoumba mbingu na dunia, Alijirejelea Mwenyewe kama "tufanye." Mungu Alitufundisha kwa kupitia uhusiano kati ya kivuli na uhalisi wake, kwamba tunayo familia ya Mbinguni kama vile tunavyofamilia Duniani. Kwa watoto wanaoutambua wokovu wa Mungu Baba na Mungu Mama, Mungu Aliwapa pia misheni ya kuokoa ulimwengu kwa Roho Mtakatifu aliyetawazwa juu yao.
Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu . . ." Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba; mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1:26–27
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha