Mungu Mwenyezi, Aliyeumba mbingu na dunia kwa neno
hapo mwanzo, Wakisimamia juu ua viumbehai vyote kulingana na mapenzi Yao,
ndio Baba wa Mbinguni Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Wanadamu walivaa mwili kwa sababu ya dhambi yao wenyewe.
Walakini, Mungu, ambaye hana dhambi, Alijifanya chini kidogo kuliko malaika,
Akija duniani mara ya pili kwa ajili ya wokovu wa wanadamu tu.
Alitujulisha njia ya wokovu
kwa njia ya Agano Jipya katika Kanisa la Mungu.
Basi kwa kuwa watoto wana nyama na damu, yeye pia alishiriki katika ubinadamu wao . . . kuwaweka huru wale waliokuwa utumwani maisha yao yote kwa sababu ya kuogopa mauti. [Waebrania 2:14–15]
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha