Wakati uliopita, Waisraeli walipotenda dhambi, walilipa kwa ajili ya dhambi zao kwa damu ya wanyama katika patakatifu. Dhambi ambazo watu waliweka katika patakatifu kwa mwaka mzima zilirudishiwa kwa yule mbuzi wa kubebeshwa dhambi, anayewakilisha Shetani, na kuhani mkuu katika Siku ya Upatanisho, siku ya kumi ya mwezi wa saba kulingana na kalenda takatifu. Kazi hii hufanywa kupitia Siku ya Upatanisho katika enzi hii, pia.
Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wamekuja kama patakatifu katika Enzi ya Roho Mtakatifu. Lazima tutoe shukrani Kwao ambao Walituokoa kwa kufanyika sadaka za dhabihu kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi za wanadamu wote. Lazima pia tuweke upendo tuliopokea kutoka kwa Mungu katika utendaji kuelekea kaka na dada zetu.
"Kiti cha enzi kilichotukuzwa, kilichoinuliwa tangu mwanzo, ndiyo sehemu yetu ya mahali patakatifu. Ee BWANA, uliye tumaini la Israeli."
Yeremia 17:12–13
Siku iliyofuata, Yohana alimwona Yesu akimjia akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!"
Yohana 1:29
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha