Katika nyakati za Agano la Kale, dhambi zote ambazo watu walitenda
kwa mwaka uliotangulia zilihamishwa kwenye patakatifu
na katika Siku ya Upatanisho, mbuzi wa kubebeshwa dhambi
alizichukua dhambi hadi mahali pa upweke jangwani naye akafa,
akileta mwisho kwa dhambi.
Siku ya Upatanisho ni sikukuu ambayo inatujulisha dhabihu
ya Baba na Mama wa Mbinguni, Waliofanyika sadaka ya dhambi.
Kwa kumfanya Shetani, aliyesababisha dhambi yetu, kulipa kwa ajili ya dhambi,
Wanafanya upatanisho kwa ajili yetu.
Lakini yalikuwa ni mapenzi ya BWANA kumchubua na kumsababisha ateseke. Ingawa BWANA amefanya maisha yake kuwa sadaka ya hatia, ataona uzao wake . . . Isaya 53:10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha