Lazima tusiwe kama Mfalme Sauli ambaye alifasiri maneno ya Mungu kama alivyopenda na kuyatii kwa sehemu. Badala yake, lazima tuadhimishe Pasaka kama Mfalme Hezekia, tukiigeuza mioyo yetu mipotevu mbali na ulimwengu na kurudi kwa Mungu kwa njia ya zaka na sadaka kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Malaki. Hii ndiyo toba.
Siku ya Upatanisho ni siku ambayo dhambi zote tulizotenda Mbinguni na dhambi tulizotenda Duniani kwa kujua na bila kujua zinarudishwa kwa Shetani, ambaye ndiye chanzo cha dhambi zote.
Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wametujulisha kwamba toba kamili inaweza kufanywa kwa njia ya Sikukuu za Agano Jipya, ambayo ni injili ya Ufalme.
"Nirudieni mimi, nami nitawarudia ninyi,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote." "“Lakini mnauliza, ‘Tutarudi kwa namna gani?’ Je, mwanadamu atamwibia Mungu? . . . Mnaniibia zaka na dhabihu."
Malaki 3:7–8
Wakaamua kupeleka tangazo Israeli kote . . . wakiwaita watu waje Yerusalemu kuadhimisha Pasaka ya BWANA, Mungu wa Israeli. “. . . mrudieni Mungu wa Abrahamu, Isaki na Israeli . . .”
2 Nyakati 30:5–6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha