Sikukuu ya Tarumbeta ni sikukuu inayohimiza toba kwa kupiga tarumbeta siku kumi kabla ya Siku ya Upatanisho.
Maisha ya kabla ya toba ni maisha yaliyotiwa madoa na dhambi, lakini maisha baada ya toba ni maisha yenye baraka yanayotupeleka kwenye uzima wa milele.
Tunapotubu, maisha yetu yatakuwa na maana kana kwamba tunaishi miaka elfu moja ingawa tunaishi siku moja tu na tutakuwa na utukufu kama wa mtu ambaye alikuwa amekufa lakini akawa hai.
Ndiyo maana jambo la kwanza Alilosema Yesu lilikuwa “Tubuni!”
“Tubuni basi mkamgeukie Mungu, dhambi zenu zifutwe, ili zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwepo kwake Bwana.”
Matendo 3:19
“Lakini sasa kwa kuwa mmewekwa huru mbali na dhambi . . . faida mnayopata ni utakatifu, ambao mwisho wake ni uzima wa milele.”
Warumi 6:22
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha