Sikukuu ya Vibanda katika Agano la Kale, ambayo ilikumbuka ujenzi wa hekalu, ni kivuli, na uhalisi wake ni Sikukuu ya Vibanda katika Agano Jipya, ambapo Mungu Anatoa Roho Mtakatifu wa mvua ya mwisho kama maji ya uzima. Hili linaonyesha kwamba watu wote lazima waje kwa Mungu Mama, Anayewakilishwa na Hekalu la Yerusalemu, ili waweze kupokea Roho Mtakaitufu wa mvua ya mwisho na kuokolewa.
Mungu tu Anaweza kutoa maji ya uzima kwa wanadamu wote. Hivyo, Roho na Bibi arusi, Wanaotoa maji ya uzima bure katika siku za mwisho, ni Mungu Baba na Mungu Mama.
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure. Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha