Mawe yaliyokuwa na thamani kabla ya ustaarabu
hayana thamani katika jamii za kisasa.
Vivyo hivyo, kuna tofauti kubwa ya thamani kati
ya vitu vya duniani na vitu vya mbinguni.
Thamani ya ufalme wa mbinguni haiwezi
kupimwa kwa kiwango cha thamani duniani.
Mungu Anataka watoto Wake kupata baraka za
mbinguni kwa kuishi maisha ya thamani zaidi badala
ya kuishi kwa ajili ya vitu vya ubatili, visivyofaa duniani.
Hivyo Mungu Ametuambia tuwe mashahidi
Wake katika Samaria hadi miisho ya dunia.
Kwa hiyo, watu wa Mungu wanapaswa
kushuhudia kuhusu Yerusalemu Mama,
Anayetoa wokovu, kwa kuhubiri injili
ya ufalme kama mashahidi Wake.
“Wale wenye hekima watangʼaa kama mwanga wa mbingu, nao wale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watangʼaa kama nyota milele na milele.” Danieli 12:3
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha