Sikukuu ya Tarumbeta nazo siku kumi za sala, ambazo Kanisa la Mungu hushika, ni wakati wa kuungama na kutubu dhambi zote tulizotenda katika mwaka uliopita. Kwa hiyo, watu wa Mungu lazima wafanye maandalizi kwa ajili ya Siku ya Upatanisho kwa kutubu kikamilifu kwa njia ya sala.
Nafsi inapoacha kusali, ambayo ni kupumua hewa, hiyo nafsi inateseka sana. Yesu, ambaye Alikuja miaka 2,000 iliyopita, na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, ambao Wamekuja katika Enzi ya Roho Mtakatifu, Walitufundisha nguvu ya sala kwa kusema, "Ombeni, tafuteni, na bisheni," nao Wakaweka kielelezo cha kuitembea njia ya injili kwa kusali.
"Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango. Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango . . . si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa vitu vizuri wale wamwombao?"
Mathayo 7:7–11
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha