Kama vile Abraham Lincoln
alivyowaangazia askari wakati wa Vita
vya Wenyewe kwa Wenyewe vya
Amerika, tukisali kwa Mungu,
“Tafadhali uwe upande wangu,”
hatuwezi kujua ikiwa tuko kwenye njia
sahihi au njia isiyo sahihi.
Kwa hiyo, ili kuokolewa, tunahitaji
kusali, “Tafadhali turuhusu tuwe
upande wa Mungu sikuzote.”
Eliya alikabiliana na wale manabii wa
uwongo 850, na marafiki watatu wa
Danieli hawakuisujudu sanamu ya
dhahabu.
Abrahamu alikuwa babu wa imani, na
Noa akaitwa mrithi wa haki.
Watu hawa walikuwa daima upande wa
Mungu. Vivyo hivyo, katika enzi ya
Roho Mtakatifu, waumini wa Kanisa la
Mungu, wanaomwamini Mungu
Ahnsahnghong na Mungu Mama,
wanaomba kwamba daima wawe upande
wa Mungu katika kila hali inayotokea
kwenye njia ya imani.
Kwa hiyo, mfuateni Mungu kama
watoto wapendwao, mkiishi maisha ya
upendo, kama vile Kristo
alivyotupenda . . .
Waefeso 5:1–2
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha