Miaka elfu mbili iliyopita, Yesu Alikuja duniani
kwa muonekano kawaida kama mkaguzi wa siri wa kifalme
ili kuwatafuta watu Wake wa kweli kwa kutofautisha
kati ya wenye haki na waovu.
Pia Yesua Alitabiri kwamba Atakuja mara ya pili
ili kutuletea wokovu katika nyakati hizi za mwisho.
Kwa wale ambao hawaamini na kuwa na mashaka kama Yuda Iskariote,
muonekano kawaida wa Yesu, ambaye Aliuficha Uungu Wake,
utakuwa shimo na tanzi. Walakini, kwa wale ambao wanamtambua
Kristo kama Mungu na kuamini, Mungu Atawapa funguo
za ufalme wa mbinguni kama Alivyompa Petro.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha