Kama vile watakatifu wa Kanisa la mapema walihesabu kuhubiri
chini ya mateso ya kidini kama shangwe, ikiwa tunatambua upendo na dhabihu
ya Kristo Aliyefanya upatanisho kwa ajili ya dhambi ya wanadamu,
tutakuwa na shukurani hata kwa ajili ya mateso
tunayokabili katika maisha yetu ya imani.
Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni Walikuja kuokoa wenye dhambi kutoka katika mauti.
Wakatifu wa Kanisa la Mungu wanahubiri injili kwa moyo wao wote na nia zao zote,
wakitumaini kwamba wanadamu wataitambua neema ya Mungu
na kufikia toba kamili.
Bali furahini kuwa mnashiriki katika mateso ya Kristo, ili mpate kufurahi zaidi wakati utukufu wake utakapofunuliwa. 1 Petro 4:13
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha