Kupitia mfumo wa familia ya duniani, Mungu Ametujulisha kwamba kuna familia ya mbinguni. Kama vile watoto wa duniani wanavyorithi mwili na damu ya wazazi wao, watoto wa mbinguni lazima wapokee mwili na damu ya Mungu Baba na Mungu Mama kupitia mkate na divai ya Pasaka. Watu kama hao tu wanaweza kumwita Mungu “Baba” na “Mama” kama watoto wa mbinguni.
Leo, waumini wa Kanisa la Mungu wanasifiwa kwa matendo yao mazuri ulimwenguni pote kwa sababu wanawapenda watu wote kwa upendo na kujitoa walivyojifunza kutoka kwa Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, na kwa sababu utukufu wa Yerusalemu umejaa ulimwenguni mzima kama vile Biblia ilivyotabiri.
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, hawatanyamaza mchana wala usiku. Ninyi wenye kumwita BWANA, msitulie, msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu na kuufanya uwe sifa ya dunia. Isaya 62:6–7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha