Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama
Walikuja katika dunia hii
katika mwili na kutembea
njia ya mateso
kwa ajili ya wokovu
wa watoto Wao
ambao wanateseka na kuishi
kwa maumivu kwa sababu
ya dhambi walizotenda mbinguni.
Tunapotambua upendo na dhabihu
ya Wazazi wetu wa kiroho
na kujisifu kuwahusu,
Mungu Atatukubali sisi kama
“watoto Wangu” mbele
za malaika na kutupatia baraka.
Watu wa Mungu
walijisifu kuhusu Mungu Yehova
katika nyakati za Baba
na Yesu
katika nyakati za Mwana.
Vivyo hivyo, tunapaswa
kujisifu kuhusu Kristo Ahnsahnghong
na Mungu Mama,
ambao Wamekuja kama
Roho na Bibi arusi
katika enzi ya
Roho Mtakatifu.
Ni lazima pia
tuwafahamu wezi wa kiroho
wanaoiba mioyo yetu,
kuigeuza mioyo yetu
imwache Mungu, na
kuharibu nafsi zetu.
“Ninawaambia kwamba yeyote
atakayenikiri mbele ya watu,
Mwana wa Adamu naye
atamkiri mbele za
malaika wa Mungu.
Lakini yeye atakayenikana
mimi mbele ya watu,
Mwana wa Adamu naye
atamkana mbele ya
malaika wa Mungu."
Luka 12:8–9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha