Kama Yesu Alivyovumilia na kushinda mabezo, Akidharauliwa na watu, na kusalitiwa na wanafunzi Wake, na kuteswa msalabani haya yote kwa ajili ya watoto Wake wapendwa, sisi pia, yatupasa tuuchukue msalaba wetu na tuifuate njia ya Yesu.
Kupitia Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, ni lazima tukumbuke mateso ya Yesu Kristo na tufikiri juu ya mateso ya Kristo Ahnsahnghong ambaye Alikuja mara ya pili. Tunapomfuata Kristo katika njia Yake, tukitoa shukrani katika hali zote, Mungu hubadili vizuizi kama Bahari ya Shamu kuwa kifaa chenye neema.
“Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, ‘Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate. Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayapata.’ ” Mathayo 16:24–25
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha