Takribani miaka 3,500 iliyopita, Waisraeli aliiadhimisha Pasaka na kuanzia siku iliyofuata, walikimbizwa na majeshi ya Misri na walipitia mateso ambayo ilikuwa kivuli. Takribani miaka 2,000 iliyopita, Yesu Kristo Aliiashimisha Pasaka pamoja na wanafunzi Wake, na siku iliyofuata Aliteseka msalabani, ambayo ilikuwa uhalisi wa Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu.
Katika nyakati za Agano la Kale, Mungu Aliwaruhusu Waisraeli kula mkate usiotiwa chachu na mboga chungu ili kwamba waweze kukumbuka mateso ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu. Katika nyakati za Agano Jipya, Mungu Aliwaruhsu watakatifu wote wa Kanisa la Mungu, waliotambua dhabihu ya Yesu, kufunga ili kwamba waweze kushiriki katika mateso ya msalaba.
Kama vile Mtume Paulo alivyoihubiri Injili kwa chapa za Yesu moyoni mwake,
tunapaswa kuwa watoto wa Mungu ambao wanaweza kuihubiri Injili
tukiandika upendo wa Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni mioyoni mwetu.
Hatimaye, tangu sasa mtu yeyote asinitaabishe,
kwa maana nachukua katika mwili wangu chapa zake Yesu. Wagalatia 6:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha