Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu katika Agano la Kale ilifanya ukumbusho wa taabu ambazo Waisraeli walipitia miaka 3,500 iliyopita; baada ya kuadhimisha Pasaka, walitoka Misri siku iliyofuata nao wakapitia magumu hadi wakavuka Bahari ya Shamu.
Hili lilitumika kama kivuli cha maumivu, na dhabihu ambazo Yesu Kristo Angepitia; baada ya kuadhimisha Pasaka, Aliteseka na Akasulubiwa siku iliyofuata.
Kukanwa na kusalitiwa na wanafunzi waliokuwa wamedai, “Tutakufuata hata kufa,” akidhihakiwa na kubezwa na maadui wengi, na hatimaye kusulubiwa msalabani—haya ndiyo mateso Kristo Ahnsahnghong, Mwokozi katika enzi ya Roho Mtakatifu, Alipitia miaka 2,000 iliyopita.
Sasa ndio wakati ambapo tunahitaji imani inayotambua upendo Wake na kuchukua msalaba wetu wenyewe.
Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayapata.
Mathayo 16:24–25
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha