Kristo Alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu. Aliishi maisha ya injili, Akihubiri habari ya wokovu kuwaokoa wanadamu, kuhubiri ni kwa wale wanaojali zaidi kuhusu wokovu wa wengine kuliko faraja yao wenyewe. Hii inaweza kufanyika kwa azimio la kufuata njia ya msalaba ya Kristo.
Katika wakati wote wa kuhubiri injili kuokoa nafsi moja, tunaweza kupitia taabu nyingi na kujitoa kama yule Msamaria na mtumishi mwema aliyepokea talanta tano na talanta mbili katika mifano. Walakini, baraka za utukufu za Mbinguni zimeahidiwa katika njia inayofuata mfano wa Mungu.
Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Yesu akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba. . . . Yesu akawajibu, “Twendeni mahali pengine kwenye vijiji jirani, ili niweze kuhubiri huko pia. Kwa sababu hicho ndicho nilichokuja kukifanya.”
Marko 1:35–38
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha