Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu ni sikukuu Yesu Kristo Alipobeba msalaba wa mateso kwa ajili ya wenye dhambi.
Mungu Anatufundisha kwamba wanadamu wote, wenye dhambi wa Mbinguni, wanapofuata mfano wa Kristo, kubeba msalaba wao, na kufuata njia ya Kristo, wanaweza kuwa na shauku ya milele kupitia mateso na magumu.
Watakatifu wa Kanisa la mapema walitambua kwamba kuna uzima wa milele baada ya uzima katika dunia hii nao wakayapokea mateso, magumu, na mateso yote kwa shangwe kwa shauku ya milele.
Vivyo hivyo, waumini wa Kanisa la Mungu daima hutoa shukrani kwa ajili ya yote wanayokabili katika dunia hii.
Nimeona mzigo Mungu alioweka juu ya wanadamu.
Amefanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Pia ameiweka hiyo milele katika mioyo ya wanadamu, . . .
Mhubiri 3:10–11
Kwa hiyo, hatukati tamaa. . . .
Kwa maana dhiki yetu nyepesi iliyo ya kitambo inatutayarisha kwa ajili ya utukufu wa milele unaozidi kuwa mwingi kupita kiasi,
2 Wakorintho 4:16–17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha