Katika Agano la Kale, Siku ya Malimbuko iliadhimishwa
kwa kupunga mganda wa nafaka ya kwanza siku inayofuata Sabato.
Katika Agano Jipya, ilibadilishwa kuwa Siku ya Ufufuo
kusherehekea kufufuka kwa Yesu kama limbuko.
Wanafunzi wa Yesu wa Kanisa la mapema walishtushwa
na walishikwa na ghamu baada ya kifo cha Yesu msalabani,
ila waliweza kupata tena imani, uhodari, na nguvu
kupitia ufufuo wa Yesu. Yesu Aliwapa
wanadamu wote tumaini lililo hai la ufufuo.
Sababu waumini wanaweza kutabasamu hata katika ulimwengu mgumu
ni kwamba ufufuo wa Yesu uliwapa wao waliokuwa wamefungwa
mnyororo kwa mauti tumaini la wokovu na kwa sababu wanaweza
kujiamini kwamba watabadilishwa vizuri
kuwa malaika na kwenda Mbinguni wakati ujao.
Sikilizeni, nawaambia siri:
Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa . . .
1 Wakorintho 15:51
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha