Tunapotambua suala la nafsi,
tunaweza kujua jinsi mbingu na dunia
na vitu vyote vilivyomo viliumbwa
na kwa nini tunaishi kwenye dunia, na kisha
tunaweza kuwa na tumaini lililo hai la ufufuo.
Aghalabu, watu hawakutaka kuuamini ulimwengu
ambao hawajawahi kupitia. Kwa sababu hiyo,
Mungu Baba na Mungu Mama Walikuja katika dunia hii
na kuelezea kwa utondoti kuhusu nafsi na Mbinguni.
Kwa kuwa kuna hukumu ya Mungu baada ya kifo,
ambayo ni wakati mwili na roho vinapotengana,
waumini wa Kanisa la Mungu wanafuata maneno
ya Mungu na wana tumaini la Mbinguni.
. . . nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka,
na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa. Mhubiri 12:7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha