Yesu Alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu na kufufuliwa siku ya tatu baada ya kusulubiwa Kwake. Kwa njia ya ufufuo Wake, Alithibitisha kwaba kuna ufufuo na mgeuzo kwa ajili ya wanadamu pia.
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu linaamini ahadi ya Mungu kwamba miili ya kibinadamu itabadilika kuwa miili ya kiroho kama ambavyo kuna viumbe ambavyo vinageuka katika ulimwengu wa asili kama kerengende na nyenge. Kanisa la Mungu, ambalo Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wanaliongoza, linashiriki katika ahadi ya wokou.
“Lakini uenyeji wetu uko mbinguni. Nasi tunamngoja kwa shauku Mwokozi kutoka huko, yaani, Bwana Yesu Kristo, atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, ili upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote chini yake.” Wafilipi 3:20–21
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha