Mnyang‘anyi kwenye upande wa kulia alibarikiwa na wokovu
kwa njia ya hekima ya kuchagua yale yaliyo na thamani ya milele
kwa kusimama kwenye upande wa Yesu.
Kwenye njia yetu ya imani kwenda Mbinguni, thamani zinazokubaliwa na Mungu
ni muhimu zaidi kuliko thamani zinazokubaliwa na watu duniani.
Kama vile Yesu Alivyowaita wanafunzi Wake karibu na Bahari ya Galilaya,
katika enzi hii, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama,
ambao ni Roho na Bibi arusi, Wanawaita wafanyakazi
wa Agano Jipya watakaochagua thamani za Mbinguni.
Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.”
Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia,
leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.” [Luka 23:42–43]
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha