Kulingana na unabii wa Sikukuu ya Malimbuko, Yesu Alifufuka Jumapili kama tunda la kwanza la wale wote waliolala. Siku ambayo Alivunja nguvu ya mauti, Akiwapa wanadamu tumaini la ufufo, ilikuwa Siku ya Ufufuo.
Mungu Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni Walikuja duniani kuwapa wanadamu tumaini la ufufuo na kurudisha sura yetu ya malaika.
Wakifuata mafundisho ya Biblia, wanadamu lazima washike Siku ya Ufufuo siku ya Jumapili kwa kuumega mkate, sio mayai, ili kufumbua macho yetu ya kiroho.
Lakini kweli Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala. 1 Wakorintho 15:20
Kwa kuwa tunaamini kwamba Yesu alikufa na kufufuka . . . Nao waliokufa wakiwa katika Kristo watafufuka kwanza. Baada ya hilo sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu ili kumlaki Bwana hewani. 1 Wathesalonike 4:14–17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha