Mtume Yohana alipoona hali ya bahati mbaya
kwamba wanadamu wote wangeenda jehanamu, alilia.
Walakini, mmoja wa wale wazee akamwambia,
“Wakati ujao, Shina la Daudi Atafungua
Biblia iliyofungwa kwa lakiri na kuwaokoa
wanadamu.” Kristo Ahnsahnghong
Alibatizwa Akiwa na umri wa miaka 30, kwa mujibu
wa maisha ya Daudi, Alimaliza miaka 37 iliyobaki,
na kufunua agano jipya na siri za Biblia ambazo
zilikuwa zimefungwa kwa lakiri, ukiwemo
ukweli wa Mama yetu wa Mbinguni.
Kwa kuwa siri za Biblia zinaweza tu
kufunguliwa na Daudi, wanadamu
wanapaswa kukutana na Daudi. Kristo
Ahnsahnghong, Aliyekuja kama Daudi,
Aliwafundisha wanadamu kuhusu ufalme wa
milele wa mbinguni, badala ya mambo ya
maisha haya ya muda. Pia, Alifundisha juu ya
kuwepo kwa Mungu Mama, Eva wa
kiroho, ambaye Alikuwa Amefichika ndani ya
mpango wa Mungu. Kwa hiyo, mataifa yote
humiminika kwenye Kanisa la Mungu
ambapo Mungu Mama Anakaa.
Nikalia sana sana kwa sababu hakuonekana
yeyote anayestahili kukifungua hicho kitabu
wala kutazama ndani yake. Kisha, mmoja
wa wale wazee akaniambia, “Usilie! Tazama,
Simba wa kabila la Yuda, wa Uzao wa
Daudi, ameshinda. Yeye ndiye anayeweza
kukifungua hicho kitabu na kuvunja hizo
lakiri zake saba.”
Ufunuo 5:4–5
Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa
mara moja tu na baada ya kufa akabili
hukumu, vivyo hivyo Kristo alitolewa mara
moja tu kuwa dhabihu ili azichukue dhambi
za watu wengi. Naye atakuja mara ya pili,
sio kuchukua dhambi, bali kuwaletea
wokovu wale wanaomngoja kwa shauku.
Waebrania 9:27–28
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha