Wakati wa Babeli kipindi cha kuwepo kwa Danieli, Mungu Alitabiri kuhusu falme ambazo zingetokea wakati ujao, kama vile Umedi na Uajemi, Ugiriki, na Roma.
Pia, Mungu Alishuhudia kwamba Biblia inatangulia sayansi.
Kupitia mambo haya, Mungu Alitaka wanadamu waamini na wawe na tumaini la ufalme mtukufu wa mbinguni ambapo wataingia wakati ujao.
Mambo yote yalitimizwa kulingana na unabii wa Biblia, yaani, maisha ya Kristo Ajaye Mara ya Kwanza, unabii kuhusu Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong na Mungu Mama, pamoja na uhuru wa Israeli mnamo mwaka 1948.
Pia kuna unabii ambao Mungu Aliwaachia wanadamu, ambao wamo hatarini kwa sababu ya maafa mbalimbali na matatizo ya hali ya hewa. Mungu Alisema kwamba wanadamu wanapaswa kuingia Sayuni kwa haraka, ambapo wanaweza kuepuka maafa.
Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa.
Lakini kwa neno lilo hilo, mbingu za sasa na dunia zimewekwa akiba kwa ajili ya moto, zikihifadhiwa hadi siku ile ya hukumu na ya kuangamizwa kwa watu wasiomcha Mungu.
2 Petro 3:6–7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha