Kama vile wale waliochukulia neno la Mungu kama utani na hawakukimbia waliangamizwa Mungu Alipoihukumu dunia kwa gharika katika siku za Noa na kwa moto katika siku za Sodoma na Gomora, watu ambao hawakuliamini neno la Yesu, “Mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, lazima mkimbie,” lakini waliingiwa na hisia za ushindi wote waliangamizwa kwenye shambulio la pili la jeshi la Roma.
Ulimwengu unaiona hukumu ya mwisho ya Mungu kwa moto kama utani.
Walakini, Mungu Anawasubiri wanadamu kwa sababu Anataka kila mtu aokolewe ili kwamba hata mtu mmoja asiangamie.
Hivyo, waumini wa Kanisa la Mungu wanashuhudia kwa ulimwengu kwa nguvu habari za wokovu kulingana na mapenzi ya Mungu.
[K]wamba siku za mwisho watakuja watu wenye dhihaka, wakidhihaki na kuzifuata tamaa zao mbaya.
Watasema, “Iko wapi ile ahadi ya kuja kwake?
. . . Siku hiyo italeta mbingu kuchomwa moto na kutoweka, na vitu vya asili vitayeyuka kwa moto.
Lakini kufuatana na ahadi yake, sisi tunatazamia mbingu mpya na dunia mpya, ambayo haki hukaa ndani yake.
2 Petro 3:3–13
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha