Kulikuwa na mfanyakazi wa kawaida katika kampuni ya Rockefeller, aliyesifu bidhaa ya hiyo kampuni kiasi kwamba akaitwa “Pipa la mafuta, $4.”
Baadaye hata akawa rais wa hiyo kampuni.
Kupitia hadithi yake, tunaweza kuelewa kwamba tunaposifu kuhusu Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama ambao wamekuja kama Wokozi katika enzi ya Roho Mtakatifu na kuhubiri ukweli wa wokovu, tutastahili kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Watoto wa Mungu hawapaswi kuyumbishwa na maoni ya watu wengine, wala kufuata mielekeo ya ulimwengu.
Wanapaswa kuangalia maoni ya Mungu tu na kuthamini kazi ya kuhubiri injili.
Ndipo tu, wanaweza kuishi kulingana na huo unabii, kupata talanta kumi, na kupongezwa, “Vema!”
[W]ale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watangʼaa kama nyota milele na milele.
Danieli 12:3
Kila siku, Hekaluni na nyumba kwa nyumba, hawakuacha kufundisha na kuhubiri habari njema kwamba Yesu ndiye Kristo.
Matendo 5:42
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha