Katika maisha yetu yote, sisi sote tunakabili hali ngumu mbalimbali.
Katika nyakati hizo za taabu, mababu wa imani katika enzi ya Baba walimwita Mungu Yehova nao wakaokolewa, watakatifu katika enzi ya Mwana wakaliita jina la Yesu Kristo nao wakaokolewa, na katika enzi ya Roho Mtakatifu, lazima tumwite Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama ili tuokolewe.
Mungu Alisema kwamba wale wanaojua jina Lake ndio watu Wake wa kweli, naye Akatuamuru tufanye ubatizo, ambao ni hatua ya kwanza ya wokovu, kwa jina la Baba, la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
Leo, Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu pekee ndilo linalowabatiza watu katika jina la Roho Mtakatifu Kristo Ahnsahnghong, ambalo lina ahadi ya wokovu na msamaha wa dhambi.
Kwa maana hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi:
. . . Kwa hiyo watu wangu watalijua Jina langu; kwa hiyo katika siku ile watajua kwamba ndimi niliyetangulia kulisema. Naam, ni mimi.”
Isaya 52:4–6
“Yeye ashindaye nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, . . .
Nitaandika juu yake Jina la Mungu wangu na jina la mji mkubwa wa Mungu wangu, Yerusalemu mpya, . . .”
Nami pia nitaandika juu yake Jina langu jipya.”
Ufunuo 3:12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha