Kama vile Mungu Alivyotabiri kupitia kwa Isaya kuhusu maisha ya aina gani Yesu Ataishi, na kupitia kwa Yosefu kuhusu miaka saba ya neema na miaka saba ya njaa, Mungu Alitabiri kuhusu Ufalme wa Mbinguni ambao unakuja hivi karibuni.
Kama ambavyo Yosefu alifanya maandalizi kwa miaka saba ya njaa kwa sababu aliuamini unabii wa Mungu, waumini wa Kanisa la Mungu huishi maihsa yenye shukrani katika hali yoyote kwa sababu wanaziamini baraka za Mbinguni ambazo Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Watawapa.
“Atafuta kila chozi kutoka macho yao. Mauti haitakuwepo tena, wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu, kwa maana mambo ya kwanza yamekwisha kupita.” Ufunuo 21:4
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha