Watu ambao hawawapendi wengine bali wanafikiri tu
juu ya faida zao wenyewe ni wale ambao wana ujuzi tu
wa njia ya Agano Jipya. Mungu Ametufundisha
kwamba iwapo tu tunabadilika kuwa na asili ya uungu na
kustahiana, tunaweza kuingia katika Ufalme wa milele wa Mungu.
Andersen alipata kuwa mwandishi bora ulimwenguni,
akihamasishwa na hali zisizofaa.
Hivyo, yote yanayotuzunguka yamebuniwa na Mungu
Ahnsahnghong na Mama yetu wa Mbinguni ili kutupeleka Mbinguni.
. . . kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale. . . ili mfanywe upya roho na nia zenu, mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu. . . Waefeso 4:22–24
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha