Yesu Alimwita yule Msamaria, “jirani mwema”
kwa kuwa aliweka moyo wake wote kwenye kumwokoa mtu aliyekuwa anakufa,
na Yesu Akatuomba sisi “tufanye vivyo hivyo.”
Waumini wa Kanisa la Mungu wanazaliwa upya
kama watu wema wanaokoa uhai,
kwa kuhubiri maneno ya uzima kwa ulimwengu mzima,
ili kwamba nafsi nyingi ziweze kurudi mikononi
mwa Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni.
“Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyangʼanyi?” . . . Ndipo Yesu akamwambia, “Nenda, ukafanye vivyo hivyo.” Luka 10:36–37
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha