Mungu Anawaambia wanadamu wote kwamba baada ya kuzaliwa kwao kimwili, lazima wakutane na Mungu na kuzaliwa upya kama watu wapya wanaojaliana, kuungana mkono, na kutiana moyo, wakiacha mwelekeo hasi wa kunung'unika na kulalamika ili waingie katika ufalme wa mbinguni.
Kama vile Yoshua na Kalebu walioiteka Kanaani kwa ujasiri, wakiliamini neno la Mungu tu, na Yosefu ambaye sikuzote aliamini kwamba Mungu Alikuwa pamoja naye bila kulalamika wakati wowote wa dhiki, waumini wa Kanisa la Mungu wanaamini katika Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama kama Waokozi na huyaweka maneno Yao ya kuzaliwa mara ya pili katika vitendo, na hivyo kupokea baraka nyingi.
Yesu akamjibu, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu anayeweza kuuona Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa mara ya pili.” Yohana 3:3
Kwa maana nawaambia, haki yenu isipozidi haki ya Mafarisayo na walimu wa sheria, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni. Mathayo 5:20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha