Mungu Aliwazoeza Waisraeli kushika kanuni Zake
kama vile siku ya Sabato jangwani
ili kwamba waweze kushika sheria
ya Mungu huko Kanaani.
Vivyo hivyo, Mungu huwaruhusu wale
wanaotumainia ufalme wa mbinguni katika
maisha yao ya kila siku kujifunza lugha
ya mbinguni, ambayo ni lugha ya upendo,
imani, tumaini, na wokovu, kabla ya kuingia
katika ufalme wa mbinguni.
Wale walionena lugha ya mbinguni
walipokea baraka za Mungu.
Yoshua na Kalebu waliingia Kanaani,
na marafiki watatu wa Danieli walilindwa
dhidi ya lile tanuru la moto.
Vivyo hivyo, wale wanaongea lugha ya mbinguni
kulingana na mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong
na Mungu Mama wanaweza kuingia
katika ufalme wa milele wa mbinguni.
Sisi sote tunajikwaa katika mambo mengi.
Ikiwa mtu yeyote hakosei kamwe katika yale
anayosema, yeye ni mkamilifu, naye anaweza
kuuzuia pia na mwili wake wote. . . . Ulimi
pia ni moto, ndio ulimwengu wa uovu
kati ya viungo vya mwili. Ulimi huutia
mwili wote wa mtu unajisi na kuuwasha
moto mfumo mzima wa maisha yake,
nao wenyewe huchomwa moto wa jehanamu.
Yakobo 3:2–6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha