Kama vile kuna baba, mama, na watoto wao katika familia
hapa duniani, kuna Baba wa Mbinguni, Mama wa Mbinguni,
na watoto Wao wa Mbinguni watakaorithi milki ya Mungu
katika Ufalme wa Mbinguni.
Kama vile wazazi hapa duniani wanavyojitoa dhabihu kwa ajili ya watoto Wao,
Wazazi wa Mbinguni, pia, waliwasamehe watoto Wao kwa dhambi zao
kwa njia ya dhabihu na upendo Wao wa kumwaga damu msalabani,
na Wamewaahidi wokovu.
Waumini wa Kanisa la Mungu wanatembea njia ya imani
kwa shukrani kwa neema ya Wazazi wa Mbinguni,
wakilifuata neno la Baba Kristo Ahnsahnghong kwa furaha.
Tena, sisi sote tunao baba wa kimwili, waliotuadibisha
nasi tukawaheshimu kwa ajili ya hilo. Je, si inatupasa
kujinyenyekeza zaidi kwa Baba wa roho zetu ili tuishi? Waebrania 12:9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha