Biblia inashuhudia kwamba malaika wa mbinguni walitupwa chini duniani kwa sababu walijaribiwa na Shetani nao wakatenda dhambi mbinguni—hii ni hadithi ya wanadamu.
Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Walikuja hapa duniani na kuanzisha Pasaka ya agano jipya ili kuwapa wanadamu msamaha wa dhambi ili waweze kurudi katika nyumba yao ya kiroho, yaani, ufalme wa milele wa mbinguni.
Kama vile familia ya duniani inavyohusiana kwa damu, familia ya mbinguni pia inahusiana kwa damu.
Kuwa wanafamilia wa familia ya mbinguni kama watoto wa Mungu Baba na Mungu Mama, wanadamu lazima wale mkate wa Pasaka na wanywe divai ya Pasaka ambayo vinashiriki katika mwili na damu ya Mungu.
Leo, waumini wa Kanisa la Mungu katika nchi 175 wanaiadhimisha Pasaka kwa nia moja.
Wanatumika katika patakatifu palipo mfano na kivuli cha mambo yaliyo mbinguni.
Waebrania 8:5
Basi ikawadia siku ya Mikate Isiyotiwa Chachu, siku ambayo mwana-kondoo wa Pasaka huchinjwa. . . .
Kisha akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa, akisema, “Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu. . . .”
Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, “Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, imwagikayo kwa ajili yenu.
Luka 22:7–20
Hivyo basi, ninyi sasa si wageni tena wala wapitaji, bali mmekuwa wenyeji pamoja na watakatifu na pia jamaa wa nyumbani mwake Mungu.
Waefeso 2:19
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha