Ukweli kwamba Mungu hakumtuma malaika badala Yake, bali Alikuja hapa duniani Mwenyewe kuwa sadaka ya dhabihu naye Akavumilia mateso na maumivu yote tuliyopaswa kupitia, unaonyesha wazi jinsi Mungu Anavyowathamini na kuwapenda wanadamu.
Sayuni ni mahali ambapo shukrani na tumaini la mbinguni hufurika katika agano jipya.
Kwa kuwa Baba Ahnsahnghong na Mungu Mama, pamoja na kaka na dada, wako pamoja Sayuni, waumini wa Kanisa la Mungu hushinda wasiwasi na mahangaiko yote ya ulimwengu kwa shangwe.
Wapendwa, tupendane, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.
Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni pendo.
[1 Yohana 4:7-8]
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha