Mungu Anataja upendo katika vitabu vyote 66 vya Biblia.
Mungu Alituwekea vielelezo vya upendo mkuu kwa kuja duniani,
Akichukua dhambi zote za wanadamu, na hata kusulubiwa.
Hivyo watoto wa Mungu wanapaswa kupendana, kuungana na kuwa wapole kila mmoja
ili kutimiza amri mpya na kupokea baraka za Mbinguni.
Leo, waumini wa Kanisa la Mungu ulimwenguni kote
wanaelewa utamaduni na mawazo tofauti ya kila mmoja
kwa kulitenda fundisho la upendo.
Wao ni wapole kwa kila mmoja, wakionyesha utukufu wa Mungu
kwa njia ya matendo mema na upendano wa jirani, kulingana na mafundisho
ya Mungu Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Basi kwa kuwa mmejitakasa nafsi zenu kwa kuitii ile kweli hata mkawa na upendo wa ndugu usio na unafiki, basi pendaneni kwa dhati kutoka moyoni. 1 Petro 1:22
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha