Watoto wanajivunia mafanikio yao na wanatafuta zawadi kutoka kwa wazazi wao, lakini wazazi, licha ya kutoa maisha yao kwa ajili ya watoto wao, hawatarajii malipo yoyote na badala yake wanataka kuwapa zaidi.
Ni lazima tutambue kujitolea na kujitoa kwa wazazi wetu wa kimwili na pia Wazazi wa kiroho na tujizoeze kutoa upendo.
Kujitoa dhabihu msalabani sio dhabihu pekee ambayo Baba wa Mbinguni na Mama wa Mbinguni Walifanya.
Neema yao ni kubwa na ya kina kiasi kwamba inaweza kuonyeshwa kwa njia ya vifo vya wanyama waliotolewa dhabihu wakati wa sikukuu zote za Agano la Kale.
Kwa dhabihu na upendo huo wa kina, Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong na Mungu Mama Wamekuja duniani kuwatafuta watoto Wao wa mbinguni waliopotea.
Nawaambieni, vivyo hivyo kutakuwa na furaha zaidi mbinguni kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu.”
Luka 15:7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha