Katika Injili ya Yohana, Mungu Alitupa somo, “Amri mpya nawapa: Mpendane.”
Katika kitabu cha 1 Yohana, imeandikwa, “Mungu ni pendo.” na katika kitabu cha 1 Wakorintho,
imeandikwa, “Yanadumu mambo haya matatu: Imani, tumaini na upendo. Lakini lililo kuu miongoni mwa haya matatu ni upendo.”
Kwa hiyo, utimilifu wa sheria yote ni upendo.
Maneno ya Mungu Mama, “Njia ya injili lazima iwe ile ambayo hakuna aliye mpweke,”
yamewahamasisha waumini wa Kanisa la Mungu duniani kote kuweka katika vitendo kutumikiana na kupendana,
na yamekuwa nguvu inayosukuma historia ya miaka 60 ya Kanisa la Mungu hadi leo.
Upendo haumfanyii jirani jambo baya. Kwa hiyo upendo ndio utimilifu wa sheria.
Warumi 13:10
Wapendwa, tupendane, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.
Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni pendo.
1 Yohana 4:7–8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha