Kama vile kuna familia ya kimwili katika
dunia hii, mbinguni kuna familia ya mbinguni.
Mwili na damu ya Mungu vimeahidiwa katika
Pasaka ya agano jipya.
Kupitia Pasaka hii, washiriki wa Kanisa la
Mungu wanakuwa wana na binti za
Mungu Baba na Mungu Mama, na wanakuwa
familia ya mbinguni.
Wanafamilia wa kweli wa mbinguni hutunzana na
kuungana ili mtu yeyote asijisikie mpweke.
Pia, wanatembea njia ya ufalme wa mbinguni
pamoja, kwa kuimarishwa na neno la Mungu.
Wanahudumu katika patakatifu palipo mfano na kivuli
cha mambo ya mbinguni. . . .
Waebrania 8:5
Ezi ya akili ya bandia (AI) inakaribia.
Hata hivyo, Mungu hajakabidhi injili kwa akili
ya bandia ili kuwapa baraka watoto Wake.
Mungu Aliwaangazia watoto Wake kutafuta wanafamilia waliopotea
wa mbinguni haraka na kuingia katika ufalme
wa utukufu wa mbinguni pamoja.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha