Kila mtu aliyezaliwa hapa duniani, kama Solomoni na Ayubu, wakati fulani alikuwa malaika aliyeishi katika ufalme wa mbinguni. Tunafundishwa kwamba maisha katika dunia hii yamejawa na taabu na huzuni kwa sababu ni mahali ambapo malaika, ambao hapo awali waliishi katika utukufu pamoja na Mungu mbinguni, walitupwa baada ya kutenda dhambi kubwa inayoongoza kwenye mauti.
Leo, Yule ambaye Ameirudisha Pasaka ya agano jipya iliyopotea si mwingine ila Mungu wetu. Hii ni kwa sababu Pasaka ya agano jipya ni agano ambalo Yesu Alilianzisha kupitia dhabihu Yake msalabani, ili wanadamu wote waweze kusamehewa dhambi zao zinazoongoza kwenye mauti—dhambi walizotenda mbinguni—na kurudi katika ufalme wa mbinguni.
Ndani yake tunao ukombozi kupitia kwa damu yake, yaani msamaha wa dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake Waefeso 1:7
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. Warumi 6:23
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha