Miongoni mwa watu wengi waliokutana na Yesu miaka 2,000 iliyopita,
yule jemadari na yule mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutokwa damu
waliweza kupokea baraka kwa sababu walimtambua Yesu
kama Mwokozi nao hawakuipoteza fursa ya kubarikiwa.
Ili watu wote wanaoishi katika Enzi ya Roho Mtakatifu
wasiipoteze fursa ya kubarikiwa, lazima waitekeleze
misheni ipewayo na Mungu katika Kanisa la Mungu, yaani, Sayuni
ambapo Mama wa Mbinguni Anakaa,
kwa imani kamilifu kama Petro na Yohana.
Yesu akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.” Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Mathayo 4:19–20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha