Tunapokea baraka ya msamaha wa dhambi
na uzima wa milele katika Sayuni ambapo sikukuu teule za Mungu
zinaadhimishwa, na tunaweza kukutana na Mungu, Aliyekuja
katika mwili, uso kwa uso na kusikia sauti Yake bure.
Tumebarikiwa zaidi kuliko watu wengine
kwa sababu tunaishi kwenye nyakati za Roho Mtakatifu
wakati ambao mazingira ya injili ni mazuri kuliko yale
ya nyakati za Baba Mtakatifu na nyakati za Mwana Mtakatifu.
Kiroho, vipofu ambao waliweka mioyo yao
katika mambo ya kidunia wanatakiwa kufumbua macho yao ya kiroho
ili kuona baraka za mbinguni.
- Abrahamu, Nuhu na Musa
walibarikwa kwa sababu Mungu Alikuwa pamoja nao.
- Upendo wa Mungu Aliyekuja huku duniani
mara ya pili kwa ajili ya wokovu wa watoto Wake
- Tarehe ya Kuweka
- 2020. 06. 17