Katika siku ambazo wafalme walitawala, wale walioivunja amri ya mfalme walihukumiwa kifo kwa kosa la uhaini.
Vivyo hivyo, ni muhimu kufuata mafundisho ya Biblia—amri za Mungu ambaye ni Mfalme wa wafalme.
Kwa hiyo, Kanisa la Mungu linashika agano jipya lililoandikwa katika Biblia kama vile siku ya Sabato na Pasaka.
Kama vile manabii wengi kama Daudi na Solomoni walimpenda Mungu Yehova pekee katika enzi ya Baba, na kama watakatifu na Mitume wa Kanisa la mapema waliompenda Yesu Kristo katika enzi ya Mwana, kuwapenda Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama katika enzi ya Roho Mtakatifu ni siri ya wokovu.
[A]mbaye Mungu atamleta kwa wakati wake mwenyewe: yeye ahimidiwaye, aliye peke yake Mtawala, Mfalme wa wafalme, na BWANA wa mabwana, . . .
1 Timotheo 6:15
“Mpaka sasa hamjaomba jambo lolote kwa Jina langu. Ombeni nanyi mtapewa, ili furaha yenu ipate kuwa kamili.”
Yohana 16:24
“Yeye ashindaye . . . Nitaandika juu yake Jina la Mungu wangu na jina la mji mkubwa wa Mungu wangu, Yerusalemu mpya, . . . Nami pia nitaandika juu yake Jina langu jipya.”
Ufunuo 3:12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha