Kwa kuwa ufalme wa mbinguni ni ulimwengu ambapo hakuna mauti, lazima tuwe na uzima wa milele ili kwenda huko.
Hii ndiyo maana Yesu Alitusamehe dhambi zetu zote kwa njia ya Pasaka na pia Akatujalia uzima wa milele, Akisema, “Bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.”
Hii ndiyo sababu Kanisa la Mungu linaadhimisha Pasaka ya agano jipya leo.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha