Yesu Aliwajalia wanadamu Pasaka kama njia ya kupokea uzima wa milele. Pasaka ndiyo njia ya wanadamu kupokea uzima na kurudi katika ufalme wa mbinguni. Kama vile hadithi ya Mfalme Midas inavyotufundisha kwamba uhai ni wa thamani zaidi kuliko dhahabu, waumini wa Kanisa la Mungu wanaithamini na kuiadhimisha Pasaka ambayo Kristo Ahnsahnghong Ametufundisha.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha