Neno la Mungu Linatimizwa Katika Enzi Hii Pia Sisi, wanadamu, lazima tuamini kwamba neno la Mungu hakika linatimizwa, jambo ambalo tunaweza kujifunza kutokana na historia ya wale walioyafuata maneno ya nabii mzee huko Betheli badala ya neno la Mungu, unabii na utimizaji wa adhabu juu ya wale waliojenga mji wa Yeriko, na nguvu ya maneno ya Mungu iliyoonyeshwa kwa vipofu.
Tunaweza Kupata Baraka Gani Tukilitii Neno la Mungu? Kanisa la Mungu liliweza kupokea tuzo mbalimbali kutoka kila pembe ya dunia na kuangaza utukufu wa Mungu Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni katika Umoja wa Mataifa, kama matokeo ya kutii neno la Mungu kwa imani kwamba hakika Atatubariki.
“Kwa maana mmezaliwa upya, . . . kupitia kwa neno la Mungu lililo hai na linalodumu milele. Maana, ‘Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao wote ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Bwana linadumu milele.’ Na hili ndilo neno mlilohubiriwa.” 1 Petro 1:23–25
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha