Njia kuelekea Mbinguni na njia jangwani
inaonyesha uhusiano kati ya uhalisia na kivuli chake.
Kupitia maisha ya miaka arobaini jangwani, tunaweza kuona
kuwa mambo ya hatari kubwa zaidi yanayowazuia watu kuingia
katika Ufalme wa Mbinguni ni kutotii maneno ya Mungu
na malalamiko dhidi ya Mungu.
Kuweka mawazo yetu na uzoefu wetu
mbeleni mwa Mungu, Anayetuamuru kwa mapenzi Yake makuu,
huleta malalamiko na kutotii.
Kama vile Noa na Abrahamu walivyofuata maneno ya Yehova
katika Enzi ya Baba, kama vile Petro na wanafunzi wengine
walivyofuata maneno ya Yesu katika Enzi ya Mwana,
wale wanaotii maneno ya Mungu Ahnsahnghong na
Mungu Mama, waliokuja kama Mwokozi katika Enzi
ya Roho Mtakatifu, wanaweza kuingia katika Ufalme wa milele wa Mbinguni.
“Ni nani hao ambao Mungu aliapa kuwa kamwe
hawataingia rahani mwake isipokuwa ni wale waliokataa kutii?” Waebrania 3:18
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha